Virusi vya corona SARS Cov-2na ugojnjwa wa virusi COVD19 inaendeya mu duniya.

Kushiriki kwako kwa ucunguzi huu , na kutowa maelezo sahihi kwa utafuti kuhusu vinyume vya kijamii na ucumi kutokana na ugonjwa huu.

Life corona , ni mrradi yenyi kushurulisha watafiti wa ISDC, IGZ, UNU-WIDER et IDS wenye kushiriki na washirika wa inchi zingine . Utafuti umeanza tariki 23 march. nshimamiwa na watafiti wenyi kujitoleya (volontaire ) kwa uongozi wa Mwalimu Tilman Bruk . Utafuti inakubaliwa na l’ UNU-WIDER kwa namba ya refernsi <UNU-WIDER 01/2020>.

Kama hauna swali , tafali utuanandikiye anuani yako ya interneti ao mail lifewithcorona@isdc.org

Usishite kutuuliza kama iyi utafuti yaweza kukamata dakika 10 ao 15.

Ku ukurasa ifuatayo , unaweza chaguwa lugha ukienda ku menu unapanda juu mkono wa kulia.


Ya muhimu (lazima); Ukihitaji kurudi nyuma usitumiye kifungo (bouton) iliopita tafazali tumiya kifungo <<nyuma> ao retour.

Unashauriwa kutumikisha Google chrome ao Mozila firefox kwa jibu.

LinkedIn
Share this page